Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Tena ananifanya ana shida ni balaa Kumbe alijenga kwa kuzuga. Tena hii eti bosi alikuwa mhindi tena hao Ndio matapeli waliporwaga house zao enzi hizo hawana hamu ya kujenga Tanzania tena milelelWapo wanaolaza nondo moja tu..ukijitolea kununua nyumba jipange kwa yote
Hakuna sehemu niliyosema mwenye nyumba ana shida, kama huwezi kununua bora kukaa kimya kuliko kuongea upuuziTena ananifanya ana shida ni balaa Kumbe alijenga kwa kuzuga. Tena hii eti bosi alikuwa mhindi tena hao Ndio matapeli waliporwaga house zao enzi hizo hawana hamu ya kujenga Tanzania tena milelel
Inshaallah [emoji1317][emoji1317][emoji1317]Kila la kheri.
Ni kawaida tu kwenye biasharaUkijibiwa hilo utauliza na ratio ya zege..nondo zilizotumika kweny renta..kama ilifungwa mkanda...
Madalali wanatuita wateja kichefuchefu.. hehehe hatuna hela lkn wasumbufu tu
Yote hayo kwa faida gani? Unamuonngopea nani? Yani ujenge nyumba yote vzr uweke tiles nzuri, gypsum nzuri, bati nzuri, madirisha ya vioo, mageti na kila kitu ila kwenye nondo uweke moja au uweke pembeni kati usiweke hiyo ni akili kweli au matope?Wapo wanaofunga vipande mwisho Wa renta ila katikakati hakuna kitu.
Yote hayo kwa faida gani? Unamuonngopea nani? Yani ujenge nyumba yote vzr uweke tiles nzuri, gypsum nzuri, bati nzuri, madirisha ya vioo, mageti na kila kitu ila kwenye nondo uweke moja au uweke pembeni kati usiweke hiyo ni akili kweli au matope?
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hata fundi hawezi kufanya hivyo kama kuna usimamizi mzuri, huwezi kujenga nyumba ukawaacha mafundi wajenge tu wanavyotaka waoMkuu Nina imani hujatuelewa umekurupuka. Tumeongelea mafundi mkuu. Mwenye Mali hawezi Fanya ivyo