House4Sale Nyumba inauzwa Tabata

House4Sale Nyumba inauzwa Tabata

Wapo wanaolaza nondo moja tu..ukijitolea kununua nyumba jipange kwa yote
Tena ananifanya ana shida ni balaa Kumbe alijenga kwa kuzuga. Tena hii eti bosi alikuwa mhindi tena hao Ndio matapeli waliporwaga house zao enzi hizo hawana hamu ya kujenga Tanzania tena milelel
 
Hakuna sehemu niliyosema mwenye nyumba ana shida, kama huwezi kununua bora kukaa kimya kuliko kuongea upuuzi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wapo wanaofunga vipande mwisho Wa renta ila katikakati hakuna kitu.
Yote hayo kwa faida gani? Unamuonngopea nani? Yani ujenge nyumba yote vzr uweke tiles nzuri, gypsum nzuri, bati nzuri, madirisha ya vioo, mageti na kila kitu ila kwenye nondo uweke moja au uweke pembeni kati usiweke hiyo ni akili kweli au matope?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Nina imani hujatuelewa umekurupuka. Tumeongelea mafundi mkuu. Mwenye Mali hawezi Fanya ivyo

Back
Top Bottom