Kange ndio ilipo Stendi mpya ya Tanga. Umbali wa kange baharini ni 7 kilometers. Wakazi wengi wa kange ni wageni wa Tanga kutoka mikoa mbali mbali, maana ni mji mpya uliochanganyika umezungukwa na viwanda na shughuli mbali mbali za kijamii kama vyuo na kambi ya jeshi.