House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

maurice99

Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
43
Reaction score
29
Nyumba ipo Kange Mkurumuzi
*Rooms 3 (Viwili master)
*Sebule
*Dinning
*public toilet
*Umeme
*Maji
Sqm 603
Price Milioni 39 (mazungumzo yapo)
Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
 

Attachments

  • 20240702_183656.jpg
    3.1 MB · Views: 10
Hakuna mshtuko/tetemeko wakati wa kulipua miamba ya mawe?
Vipi kuhusu vumbi la viwandani halileti shida?
 
Hizi nyumba za Kiswahili zikishawekwa viraka vya sakafu zinakuwa na tabu sana.
 
manunuzi ya kitu chochote ambacho sio kipya lazima yawe na marekebisho ili uweke sawa na uhitaji wako
"Viraka vya sakafu"; sina hakika kama umeelewa maana yake.
 
eneo lina historia kua na mkondo wa maji kipindi cha mvua ndugu sema ukweli tuh
 
eneo lina historia kua na mkondo wa maji kipindi cha mvua ndugu sema ukweli tuh
hahaha...imenibidi nicheke kwanza,ndugu mchangiaji kama hujafika eneo husika basi usicomment utaharibu biashara za watu kwa jambo usilofahamu fika kwanza lafu ndo useme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…