Andrometer
Member
- Feb 26, 2019
- 81
- 67
- Thread starter
- #41
Sante kwa offer yako mkuu, lakini upo chini. Kama unawezafika 25 karibu tufanye biasharaMkuu kula 17 tumalize kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sante kwa offer yako mkuu, lakini upo chini. Kama unawezafika 25 karibu tufanye biasharaMkuu kula 17 tumalize kazi
Unataka yote kwa pamoja au naweza kukupa nusu alafu baada ya mwezi nikupe nusu tena??Kama upo tayari nicheck tafadhali.....Mwenyewe ni mimi, nashukuru kwa ushauri.
Hii haina shida njoo tufanye biashara.Unataka yote kwa pamoja au naweza kukupa nusu alafu baada ya mwezi nikupe nusu tena??Kama upo tayari nicheck tafadhali.....
Hamna neno kabisaa nitakucheck ila naamini utanipungua atleast tushuke mpaka 25M ila nipo serious.....Hii haina shida njoo tufanye biashara.
Karibu mkuu, namba yangu 0716440258 fanya tuwasilianeHamna neno kabisaa nitakucheck ila naamini utanipungua atleast tushuke mpaka 25M ila nipo serious.....
Yaa bado inauzwa, karibu mkuubado inauzwa?
Nakupigia sipnmda mrefu wala usijali kabisaa...Karibu mkuu, namba yangu 0716440258 fanya tuwasiliane
Nimesubiri simu yako, naona kimya mkuu...Nakupigia sipnmda mrefu wala usijali kabisaa...
Endelea kusubiri muuzaji, utapigiwA TUNimesubiri simu yako, naona kimya mkuu...
Basi ina miaka 67Mmhhhh hii nyumba haikupigania uhuru?
Hapana ni rangi tu, nyumba imejengwa 2010Weka umri wa nyumba sababu Inaonyesha ina miaka 50
Hapana miaka 11 actually, unaweza kuona kwwnye documents za ununuzi wa kiwanjaBasi ina miaka 67
Watu mnapenda muoneshwe vitu vina ng'aa hatakama ni kwa uwongo badala. Nipoge rangi nje ndani na bati arafu niuze bai kubwa? Bora ukione kitu kwenye uharisia wake kuliko kikiwa na uzuri wa deception.Mmhhhh hii nyumba haikupigania uhuru?
kitimotoo😅😅😅Weka umri wa nyumba sababu Inaonyesha ina miaka 50
Mi mtamu, we acha tu!kitimotoo😅😅😅
😜Unaliwa sana siku ya ijumaa sijui kwanini?