House4Sale Nyumba inauzwa Tsh. Mil. 28 Tabata Migombani

Weka umri wa nyumba sababu Inaonyesha ina miaka 50
 
Mmhhhh hii nyumba haikupigania uhuru?
Watu mnapenda muoneshwe vitu vina ng'aa hatakama ni kwa uwongo badala. Nipoge rangi nje ndani na bati arafu niuze bai kubwa? Bora ukione kitu kwenye uharisia wake kuliko kikiwa na uzuri wa deception.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…