Plot4Sale Nyumba inauzwa

Plot4Sale Nyumba inauzwa

ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 22

Mazungumzo yapo

0685223804
 
Nyumba inauzwa ipo Kigogo Lwanga karibu na shule, dakika moja kufikia ilipo. Zipo nyumba Tatu kwenye kiwanja kimoja.

Inafaa kwa ajili ya kujenga godown kwa wale wafanya biashara.View attachment 2540404
View attachment 2540405
View attachment 2540406
Haina mgogoro na karatasi zote zipo.

Bei Tsh 150,000,000 mazungumzo yapo.
+255714036595 kwa mawasiliano.
Ujenge godown mitaa hiyo si hatari maana wezi watakua wameletewa sehem ya karibu ya kuiba. Hapo Jenga guest house Ile ya 2,000 short time ukichelewa mhudumu anakugongea mlangon Kaka muda umeisha.
 
Back
Top Bottom