Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujenge godown mitaa hiyo si hatari maana wezi watakua wameletewa sehem ya karibu ya kuiba. Hapo Jenga guest house Ile ya 2,000 short time ukichelewa mhudumu anakugongea mlangon Kaka muda umeisha.Nyumba inauzwa ipo Kigogo Lwanga karibu na shule, dakika moja kufikia ilipo. Zipo nyumba Tatu kwenye kiwanja kimoja.
Inafaa kwa ajili ya kujenga godown kwa wale wafanya biashara.View attachment 2540404
View attachment 2540405
View attachment 2540406
Haina mgogoro na karatasi zote zipo.
Bei Tsh 150,000,000 mazungumzo yapo.
+255714036595 kwa mawasiliano.