House4Sale Nyumba inauzwa

Weka taarifa kamili! Hiyo "nyumba" inapatikana Mkoa gani? Weka na ukubwa wa kiwanja! Iwapo kimepimwa, au la!

Halafu utambue fika! Hakuna nyumba ya milioni 12 hapo.
Anasema kwa confidence kabisa "Nyumba ipo zinga" zinga ndio wapi sasa?

Anahisi kila mtu ni dalali kwamba anajua kona zote za huu mji?!
 
Huduma zote zipo na hiyo nyumba Ina umeme na maji umbali kutoka balabalan ni mita Mia 150
Wewe haujielewi hata kidogo, futa tu huu uzi maana hakuna unachofanya hapa. Unapoteza muda tu.
 
Ile mada ya "Uandishi wa Matangazo" kwenye somo la Kiswahili kidato cha 3 ilikupata upo chimbo na wana. Halafu inakuaje mtu anachanganya matumizi ya L na R mpaka kwenye uandishi?, eti "balabalani". You cant be serious joh!.
 
ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 22

Mazungumzo yapo

0685223804
 
NAOMBA PICHA
 
We jamaa umeandika Tangazo lako huku unakimbizwa? Uandishi mbovu huu[emoji848]
 
Hii nyumba ipo zinga ipi?
Kwa hawazi?
Kwa mtoro?
Kwa hospital?


Jibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…