Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uko serious nitafute 0655173113Mkuu nimeuza nyumba ya urithi natakiwa nijenge nihamie, ata kama ni chumba kimoja basi sawa mnishauri tu
We anza ujenzi tu, usiogope, mambo huwa yanatokea unashangaa unamaliza, wewe lianzisheMkuu nimeuza nyumba ya urithi natakiwa nijenge nihamie, ata kama ni chumba kimoja basi sawa mnishauri tu
Thanks mkuu, kwa kufuata nadhalia no 2, kwa uwezo huo wangu naweza inua kibanda Cha namna gan?Kuna ujenzi wa sina nyingi kutokana na budget yako
1. Kuna ambae baada ya kuchimba msingi atamwaga zege na kuweka kitako cha nondo 8mm kabla ya kuanza kupandisha tofali.
Atanunua tofali ngumu zilizopigwa na mchanga + kokoto half inch na cement 42.5.
Akitoka huko chini atakuja kuweka level ya msingi kwa kutumia mchanga, atapanga mawe ataweka DPC kisha BRC kabla ya jamvi.
Atamwaga jambi la 25C.
2. Kuna ambae baada ya kuchimba msingi atapanga tofali na kuanza kuinua msingi, hainui msingi kukwepa gharama za kujaza,
Atapanga mawe madogo madogo kama kokoto atamimina jamvi la c15. Tofali atanunua za kawaida za shilingi 1000
Misingi yote hii miwili ukiangalia utaona ni sawa lakini namba 1 gharama yake ni kubwa sana kuzidi namba 2.
Kwa hiyo bajeti na hilo lengo la kuhamia nakushauri ujenge ile ramani ya kwanza ila usijenge yote, ikate nusu kama inavyoonekeana kwenye picha niliyoambatanisha alafu unaacha matoleo utaendeleza kulingana na upatikanaji wa pesa kisha utamalizia na nyumba itakamilikaHabari wakuu?
Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenyew nyumba na wapangaji wenzangu,
By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach apa ni ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia, ama siziwezi zote???
Thanks 🙏View attachment 2489657View attachment 2489661
👍👍👍Kuna ujenzi wa sina nyingi kutokana na budget yako
1. Kuna ambae baada ya kuchimba msingi atamwaga zege na kuweka kitako cha nondo 8mm kabla ya kuanza kupandisha tofali.
Atanunua tofali ngumu zilizopigwa na mchanga + kokoto half inch na cement 42.5.
Akitoka huko chini atakuja kuweka level ya msingi kwa kutumia mchanga, atapanga mawe ataweka DPC kisha BRC kabla ya jamvi.
Atamwaga jambi la 25C.
2. Kuna ambae baada ya kuchimba msingi atapanga tofali na kuanza kuinua msingi, hainui msingi kukwepa gharama za kujaza,
Atapanga mawe madogo madogo kama kokoto atamimina jamvi la c15. Tofali atanunua za kawaida za shilingi 1000
Misingi yote hii miwili ukiangalia utaona ni sawa lakini namba 1 gharama yake ni kubwa sana kuzidi namba 2.
👍👍👍Habari wakuu?