Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umbali kama dakika 5 kutoka kweny lami [emoji15][emoji15]
Hayaa be mwasangaaIpo Makete mtaa wa Dombwela.
Hahaa
Itakuwa ludewa hiyooo
Niambie,,amefanya kosa,angeandika mahali ilipo.Hayaa be mwasangaa
Iko tegeta ...Nyia ya kuelekea wazoNiambie,,amefanya kosa,angeandika mahali ilipo.
Wewe ndio muuzaji,tumia ID moja basi.Iko tegeta ...Nyia ya kuelekea wazo
OVA
Hichi kibanda kinafaa sana kufugia mifugoIna hati.. vyumba vitatu, kimoja master,, sebule kubwa, dining, jiko, public toilet, na uwanja mkubwa nje kama inavyoonekana..
Ipo karibu tu na barabara ya lami Kama dakika tano.
Bei 98milion
Umeipenda Piga simu njoo ikague.
Call 0689315582
Mimi syo muuzaji Ila nlimpigia Sim muuzaji..na nlimuliza nimekujibu ili wengine wafahamu wapi ilipo...Wewe ndio muuzaji,tumia ID moja basi.
SawaMimi syo muuzaji Ila nlimpigia Sim muuzaji..na nlimuliza nimekujibu ili wengine wafahamu wapi ilipo...
OVA
Huyo ni dalali kaleta post msamehe tuUmbali unapimwa kwa vipimo vya urefu kama cm, km, inch, yard; halafu muda unapimwa kwa vipimo vya muda kama siku, mwezi, saa, dakika, sekunde. Sasa wewe hapo unatuambia nini?
Kwa miguu au gari??umbali kama dakika 5 kutoka kweny lami [emoji15][emoji15]
..banda la kuku baba'ako analo??Ila eneo zuri unabomoa hilo banda la kuku, unashusha kitu na box !
Kasema tegeta kwani tegeta iko wapi?Kutoka lami ipi ya kibaigwa au Gairo
Soma tena tangazoNyumba nzuri sana Ila hujasema iko wapi