Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani?

Olasiti mkabala na A1 hotel, na mkabala na A to Z industry hizi nyumba Zipo nyingi saaana. Nadhani wengi wanafuata upepo tu wa design. But wengi wao hujutia wakianza kuvujiwa...hasa nyumba ikiwa sio Ghorofa
kwa hiyo ikiwa ghorofa na inavuja, hiyo haina shida???
kuvuja kwa nyumba inategemea naumejengaje,binafsi sioni sbabu za kuvuja. mimi nina nyumba aina hii na huu ni mwaka wa nne haivuji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…