kimweri demba
New Member
- Jul 25, 2016
- 4
- 8
Zaidi Ya Hiyo Cash, Nipo Cate Hotel Nyumba BeiKwa Moro hiyo unauza/nunua kwa 70,000,000 hadi 80,000,000
Shida yake ni moja tu, ina vyumba viwili. Ingekuwa na vyumba vitatu ingeenda hadi 100,000,000Zaidi Ya Hiyo Cash, Nipo Cate Hotel Nyumba Bei
Ni Kweli Pia Angesema Ilipo NyumbaShida yake ni moja tu, ina vyumba viwili. Ingekuwa na vyumba vitatu ingeenda hadi 100,000,000
Hii nyumba parking ni viwanja vya kanisani au CCM njia haiingiliki iko madongo kuinamaUkubwa wa kiwanja ukoje? Inaelekea parking ni ndogo sana. Bei itategemea na ukubwa wa kiwanja.
Milioni 2 tu na inategemea ipo sehemu gani piaNahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum.
Msaada tafadhali.
View attachment 1981494
Nyumba ipo TarimeNi Kweli Pia Angesema Ilipo Nyumba
Siku Hizi Ndiyo Ujenzi Wetu Kutokana Na Ugumu Wa Maisha
Kweli kiwanja ni akuna maana iko kweny kamlima flani hivi ila barabaraniUkubwa wa kiwanja ukoje? Inaelekea parking ni ndogo sana. Bei itategemea na ukubwa wa kiwanja.
Hifadhi ya barabara wakisema wanapanua barabara unapata ugonjwa wa moyo.Kweli kiwanja ni akuna maana iko kweny kamlima flani hivi ila barabarani
Inategemea ipo wapi? Kama chanika hio ni 20M tu unapewa!Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum.
Msaada tafadhali.
View attachment 1981494
Kama parking CCM akija wa 20M usimuacheHii nyumba parking ni viwanja vya kanisani au CCM njia haiingiliki iko madongo kuinama
Nyumba iko mlimani hio itakuwa kimara kimara huko ama Goba!Ukubwa wa kiwanja ukoje? Inaelekea parking ni ndogo sana. Bei itategemea na ukubwa wa kiwanja.
70,000,000 million nyumba ya vyumba viwili? Kweli Waluguru na Wapogoro washamba sana yani 😂!!!Kwa Moro hiyo unauza/nunua kwa 70,000,000 hadi 80,000,000