Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

kbmk

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
776
Reaction score
158
Nyumba zetu zimewekwa namba hata zile ambazo mafurko haya fiki, Wamiliki kuulizwa tukupe pesa au tuku jengee nyumba?

Wamiliki wana pigwa picha na kupimiwa viwanja vyao ina semekan mwisho ni mwezi wa 6 wa 2022 kuishi eneo hilo

1. Naji uliza ule mradi wa bonde la mto msimbazi ndio umekuja hadi huku pasipo husika?

2. Mbona nyumba zilizopo ktk bonde hilo au karibu na kabisa bonde hilo hawaja ambiwa hayo?

Tafadhali kama kuna anae fahamu kitu hiki anijuze kwasababu kwa sasa nipo mkoani kikazi huku wananchi wakiwa waoga hata kuwa uliza nyinyi ni kina nani na kwanini tuna hamishwa wana shindwa
 
Duuuh mradi wa watu huu bila shaka
Kila siku haviishi vikao nasihapo Tu wamefika mpaka Ilala Boma zile nyumba za Kota na zapembeni karibu nausawa wa Bonde wanataka kujenga Apartment.
 
Kwa maelezo ya watu wa TAMISEMI na watu wa NORPLAN mradi unafadhiliwa na world Bank na mahsusi kwa maendeleo ya bonde la mto Msimbazi kuanzia Kisarawe mpaka Salender
Kutakuwa na fidia pmj na malipo mengine mengi tuu japo bado yapo mdomoni na si kwenye maandishi

Na mradi huu unakwenda kuzima mipango aliyokuwa nayo Fidahussein bwana Mushi nafamilia ya marehemu Mengi,ambayo watu wa mabondeni waliona ndo mkombozi kwao na usingekuwa na longolongo kama ambavyo wanalotegemea kutoka kwenye mradi huu wa serikali unafadhiliwa na benki ya dunia

Tusubiri tuone itakavyokuwa japo ni mkombozi,tegemeo,tumaini na kimbilio la wengi wanaoishi mabondeni
 
Kwa maelezo ya mshauri wa mradi NORPLAN ni kuwa baada ya vikao na ushauri wa mipango miji imeamuliwa wachukue mpaka maeneo ya juu ya bonde ili wanaposawazisha waweze pata uwiiano mzuri kuanzia Msimbazi mpaka juu

Waliokaribu na bonde hawajaambiwa kwasababu wapo tofauti na eneo hili la juu au tuseme kuwa hayawahusu
 
Wakati wa magufuri walikuwa wapi?
 
Kwa maelezo ya watu wa TAMISEMI na watu wa NORPLAN mradi unafadhiliwa na world Bank na mahsusi kwa maendeleo ya bonde la mto Msimbazi kuanzia Kisarawe mpaka Salender....
Wakina Mengi walikua na Mpango gani na maeneo hayo mkuu?
 
Kwa maelezo ya mshauri wa mradi NORPLAN ni kuwa baada ya vikao na ushauri wa mipango miji imeamuliwa wachukue mpaka maeneo ya juu ya bonde ili wanaposawazisha waweze pata uwiiano mzuri kuanzia Msimbazi mpaka juu

Waliokaribu na bonde hawajaambiwa kwasababu wapo tofauti na eneo hili la juu au tuseme kuwa hayawahusu
Wanaanza lini hayo Mambo?
 
Kwa maelezo ya watu wa TAMISEMI na watu wa NORPLAN mradi unafadhiliwa na world Bank na mahsusi kwa maendeleo ya bonde la mto Msimbazi kuanzia Kisarawe mpaka Salender...
Worldbank huwa hawatoi fidia kwenye miradi, serikali ndiyo hubeba jukumu la kutoa fidia
 
Wapo kwenye eneo la mradi na ukizingatia kuwa wana kitega uchumi chenye thamani kubwa na ili uwaondoe inahitajika pesa ndefu sana,hivyo wanahitaji fidia ya ardhi na si ardhi ndogo na ndo maana lazima waingizwe kwenye mpango
Shukrani mkuu,Sasa nimekusoma.
 
World Bank ni muwezeshaji maana ndo anaetoa huo mkopo kwa serikali,
Nakwambia tena World Bank huwa haitoi compensation kwenye miradi yake refer Barabara ya Kimara-Kibaha, na miradi mingine mingi naifahamu ni serikali ndiyo huwa inatoa fidia na ikigoma wao husitisha kutekeleza mradi
 
Kwa hii comment yako imenifanya nirudi mwanzo kabisa nione km kuna sehemu niliandika kuwa World Bank ndo atakaetoa fidia na sijafanikiwa kuiona.......sasa wewe sijui umeitoa wapi hiyo sentensi
 
Back
Top Bottom