luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Kiukweli kuna vitu bina umuhimu kwa maslai mapana, mfano pale.Mikochen kuanzia shoppers kwenda mpaka kwa warioba pale.mvua zikinyeshaga nafikiri sote tumeshuhudia lile songombingo la maji kutapakaa barabarani ...ni vyema sasa utalamunuchukue mkondo wake tulikosea awali kupanga mji sasa inatupasa tutumie pesa nyingi kuupanga