Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

Kiukweli kuna vitu bina umuhimu kwa maslai mapana, mfano pale.Mikochen kuanzia shoppers kwenda mpaka kwa warioba pale.mvua zikinyeshaga nafikiri sote tumeshuhudia lile songombingo la maji kutapakaa barabarani ...ni vyema sasa utalamunuchukue mkondo wake tulikosea awali kupanga mji sasa inatupasa tutumie pesa nyingi kuupanga
 
Jamani mwezi wa sita ndio huo unaishia ishia,vipi world bank wamegoma kuendeleza huo mradi ama
 
Yaaani wana tuzingua kweli aise tumesimamisha biashara zetu kutulipa ina kua ngumu kama hawana mchongo waachane na mradi aise

naona na nimesikia mwezi wa kumi na mbili kutulipa hela zetu,tuvute subira kama itakuwa kweli
 
Back
Top Bottom