Nyumba moja vyumba mbalimbali

Nyumba moja vyumba mbalimbali

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Inasikitisha na kutia uchungu ni kwa nini hasa watu wanakataa suluhisho na kuamua kuishi katika ndoa iliyokatika siku nyingi, ukiwakuta mchana ni kama mke na mume tena wastaarabu kupindukia kumbe ndoa ndoano usiku ukiingia kila mtu na chumba chake na kama chuumba kimoja kila mtu na kitanda chake hawaongei!! tena inakwenda zaidi ya miaka 5 sasa Hawakubali masuluhisho ya Baba Mchungaji wala Ustaadhi Shekh Mangungu tunawapa ushauri gani watu kama hawa?????????/
 
Ni kweli inasikitisha. Lakini kama ulivyosema hawakubali masuluhisho ya Baba Mchungaji wala Ustaadhi Shekh Mangungu, huu ushauri wa hapa JF wataukubali kweli?
Haya ngoja tujaribu, tunawashauri wavae mioyo ya kusameheana na kusahau yaliyopita na kuanza kuganga yaliyo mbele yao.
 
suluhisho si ndo hilo?
wanaishi vyumba tofauti lakini wako pamoja still
we unataka suluhisho lipi?
 
You can't decide for them. Si muwaache kama wameridhia? Wewe umewahaurije, kama hawaenei kitanda kimoja?
 
mimi ni muumini wa theory ya matatizo ya wanandoa huyamaliza na kuyasulihisha wenyewe,kiukweli hao wanandoa hawahitaji suluhisho la usttaadh wala mchungaji!wao katika undani wao hawajisikii kuiishi ndoa yao hakuna mtu atawafanya warudishe things on track,kwa tafsiri yangu hakuna ndoa hapo!kuna baba na mama mwenye nyumba/watoto.na belieeve me ukiwauliza watakwambia sasa na umri huu niende wapi?na hawa watoto ?hizi mali?maisha yanaendelea!
 
suluhisho si ndo hilo?
wanaishi vyumba tofauti lakini wako pamoja still
we unataka suluhisho lipi?

Suluhisho ni kuachiana nafasi ili kila mtu apende mwingine kuliko kung'ang'aniana bila msingi!
 
Nafasi inaenda na mahitaji
wengine kuna umri hawahitaji kwenda kuanza upya
ndo wanakubaliana kuishi hivyo
kumbuka hawa hawagombani
walishalimaliza.....kwa kila mtu kulala kitanda chake...
 
Inasikitisha na kutia uchungu ni kwa nini hasa watu wanakataa suluhisho na kuamua kuishi katika ndoa iliyokatika siku nyingi, ukiwakuta mchana ni kama mke na mume tena wastaarabu kupindukia kumbe ndoa ndoano usiku ukiingia kila mtu na chumba chake na kama chuumba kimoja kila mtu na kitanda chake hawaongei!! tena inakwenda zaidi ya miaka 5 sasa Hawakubali masuluhisho ya Baba Mchungaji wala Ustaadhi Shekh Mangungu tunawapa ushauri gani watu kama hawa?????????/

strange enough utakuta na bado wana watoto na wanazaa hapo tu! mimi ndo nakosaga majibu ya "inshu" kama hizi na utajiuliza huo muendelezo wa kutafuta hao watoto waliupataje-pataje? nadhani haya ni mambo ya ngoswe.............................swe
 
Back
Top Bottom