Inasikitisha na kutia uchungu ni kwa nini hasa watu wanakataa suluhisho na kuamua kuishi katika ndoa iliyokatika siku nyingi, ukiwakuta mchana ni kama mke na mume tena wastaarabu kupindukia kumbe ndoa ndoano usiku ukiingia kila mtu na chumba chake na kama chuumba kimoja kila mtu na kitanda chake hawaongei!! tena inakwenda zaidi ya miaka 5 sasa Hawakubali masuluhisho ya Baba Mchungaji wala Ustaadhi Shekh Mangungu tunawapa ushauri gani watu kama hawa?????????/