House4Sale Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa (standard house for sale)

Mmh umesema haijawahi kaliwa lakini cha ajabu sofa,TV na shughuli zingine za kifamilia zinaendelea,au walikuwa Wana angalia mafundi [emoji16]
Shwain
punguza munkari, ulitaka nyumba ikae bila uangalizi?
 
Hiyo nyumba haina mgogoro wowote?
 
Picha za ndani plz ili tujiridhishe kama ina room 4
 
Picha za ndani plz ili tujiridhishe kama ina room 4
unaweza pitia comments za awali, nadhan utapata majibu.

n.b picha za ndani zitakufanya uamini vipi kuwa ziko four rooms or less??
 
kwa wale wahitaji mzee
katoa 5m kutoka 65m
now ni 60m pia unaweza kuja kuongea nae zaidi.
 
kama huna cash yote pia malipo kwa instalment mbili mnakarkbishwa.
 
Nyumba nzuri,ila sijajua hayo maeneo yanakuaje kipindi cha mvua...
 
Nyumba nzuri,ila sijajua hayo maeneo yanakuaje kipindi cha mvua...
geographically maeneo yote ya ukanda huo ni tambarare na yana asili ya kichanga, mvua zikinyesha maji huwa hayakai yote yanakua absorbed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…