House4Sale Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa (standard house for sale)

House4Sale Nyumba mpya na ya kisasa inauzwa (standard house for sale)

Finishing bado kwenye hii nyumba, na finishing ndio core y ujenzi wenyewe! Mwambie boss bado bei yake iko juu sana kulingana na garama zilizobaki za kukamilisha ubora wa nyumba. Huo ndio ukweli wangu
 
Finishing bado kwenye hii nyumba, na finishing ndio core y ujenzi wenyewe! Mwambie boss bado bei yake iko juu sana kulingana na garama zilizobaki za kukamilisha ubora wa nyumba. Huo ndio ukweli wangu
ushauri mzuri, but hiyo ni mteja mwenyewe atoe offer yake then ampe hizo facts/hints.
 
Nyumba nzuri sana.naijua IPO mtaani kwetu na haina mgogoro wowote.ni mpya
 
Mkuu kwa kuwasaidia weka namba ya Mjumbena Mwenyekiti wa mtaa na majina yao hapa kwa kuwasaidia. Natumai kuna watu wanaitaka sema wanahisi kupigwapigwa. Watoe wasiwasi mkuu.
 
Mkuu kwa kuwasaidia weka namba ya Mjumbena Mwenyekiti wa mtaa na majina yao hapa kwa kuwasaidia. Natumai kuna watu wanaitaka sema wanahisi kupigwapigwa. Watoe wasiwasi mkuu.
kwanin upigwe?? hiyo pesa mnalipana mitandaoni?
kuna process za kufuata kabla ya kulipa utaanza kwa mjumbe wa eneo lako, mwenyekiti wa serikali za mtaa, then ni lazima ujiridhishe hata kwenda ardhi (wizarani kuangalia coordinate za location na mwisho kabisa ni lazima uandae mwanasheria wako atakayesimamia mauziano.
 
discount available
 
bei imepungua zaidi, mmiliki katingwa na matatizo
 
mzee bado anapokea offer
 
wale wa bei za magu karibuni
leo ninaenda kwenye nyumba
 
Back
Top Bottom