House4Rent Nyumba mpya na za kisasa zinapangisha Ubungo.

House4Rent Nyumba mpya na za kisasa zinapangisha Ubungo.

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Nyumba inapangishwa Ubungo (kibo) kituo cha kwanza cha mwendokasi kama unaelekea kimara, kutembea ni dakika nne tu toka kituo mwendo kasi, ni mita chache tu toka kituoni, ziko mbili kwenye compound, kila moja inajitegemea maji na umeme, nyumba zina vyumba viwili kimoja master, sebule, jiko la makabati, na choo cha pablic, nyumba ni mpya na haijawahi kuishi mtu, Nyumba zipo ndani ya fensi, ni mpya na ni nzuri sana.

Kwa maelezo nichek kwa 0684448888 au 0713415537

2019-03-21-17-25-26-937.jpeg
IMG_20190322_075349_289.jpeg
IMG_20190322_075349_287.jpeg
IMG_20190322_075349_291.jpeg
IMG_20190322_075349_330.jpeg
IMG_20190322_075349_290.jpeg
IMG_20190322_075349_288.jpeg
2019-03-21-17-16-44-241.jpeg
2019-03-21-17-20-34-412.jpeg
2019-03-21-17-16-15-947.jpeg
2019-03-21-17-16-33-853.jpeg
2019-03-21-17-16-07-395.jpeg
IMG_20190322_075349_337.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina fence mkuu?
Nyumba inapangishwa Ubungo (Rombo) kituo cha kwanza cha mwendokasi kama unaelekea kimara, kutembea ni dakika nne tu toka kituo mwendo kasi, ni mita chache tu toka kituoni, ziko mbili kwenye compound, kila moja inajitegemea maji na umeme, nyumba zina vyumba viwili kimoja master, sebule, jiko la makabati, na choo cha pablic, nyumba ni mpya na haijawahi kuishi mtu, Nyumba zipo ndani ya fensi na usalama ni wa kutosha.

Kodi ni 400,000 kwa mwezi.

Kwa maelezo nichek kwa 0684448888 au 0713415537View attachment 1050980View attachment 1050981View attachment 1050982View attachment 1050983View attachment 1050984View attachment 1050985View attachment 1050987View attachment 1050989View attachment 1050990View attachment 1050991View attachment 1050992View attachment 1050993View attachment 1050994

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mazingira ya nje hayaendani na laki 4 nyumba ya 2 rooms. labda kama bado hayajakamilika


Kabisa na hata bei kwa vyumba viwili vya kulala bado ni kubwa sana, na hana habari siku hizi nyumba zimepungua bei sana.........
 
Nice lakini mazingira ya nje na bei hapana. vyumba viwili vya kulala nei la4?
hawa madalali hawana utu kabisa, Mikocheni na msasani nyumba ndio laki nne, sasa sijui hawa akina ngosha mnapandish sana bei, mwenye nyumba unakuta bei yake ni 250,000/ pm wao wanapandisha.

ngoja utapata wasukuma kutoka huko ushetu watapanga kwa huyo bei
 
Kabisa na hata bei kwa vyumba viwili vya kulala bado ni kubwa sana, na hana habari siku hizi nyumba zimepungua bei sana.........
hiyo bei ni ya kiindi ya kikwete, kwa magufuli mbezi beach, mikocheni 350,00/- unapata jumba mavyumba mpaka ya kufugia kuku, watu wamehamia Dodom , majjumba yapo wazi
 
hawa madalali hawana utu kabisa, Mikocheni na msasani nyumba ndio laki nne, sasa sijui hawa akina ngosha mnapandish sana bei, mwenye nyumba unakuta bei yake ni 250,000/ pm wao wanapandisha.

ngoja utapata wasukuma kutoka huko ushetu watapanga kwa huyo bei

Msipende kusingizia madalali bila kujua, mm nimepambana sana bei ishuke hizo nyumba, ila kutokana na ukaribu wake na road na kutokana na vitu vya dhamani alivyooweka mwenye nyumba kakomaa na hiyo bei,
Kumbuka mm hapo siangalii cha juu, naangalia ya mwezi, unadhan hata ikipangishwa kwa 200k mimi nikipata ya udalali ya mwezi nina hasara gani?
Nimepata mteja wa 350k nampeleka namuombea kwa mwenye nyumba kakataa, wewe hapo utasema ni dalali,
Nyumba kweli ni mpya na ni nzuri, na ziko karibu kabisa na barabara, ika bei imekomaa.. ngoja tuendelee kupambana huenda bei ikashuka.
 
hiyo bei ni ya kiindi ya kikwete, kwa magufuli mbezi beach, mikocheni 350,00/- unapata jumba mavyumba mpaka ya kufugia kuku, watu wamehamia Dodom , majjumba yapo wazi

Kwa bei hiyo na kwa huko labda mabanda ya kuku, kama una nzuri hata ya 500,000 sema nikupe mteja
 
Tu vyoo na tu jiko ni tudogo kama pirton. Nyumba zingekuwa zinapangishwa kwa meter square hii ingepangishwa kwa laki walah!
 
Back
Top Bottom