Sina cha kujificha hapo ni biashara, kwani mtu akijua ninahusika na magari kuna shida gani, au akijua ofisi zangu zipo sinza kuna shida gani? sifanyi kazi kiujanja ujanja dogo, najiamini.
Zamani nilikua natangaza biashara za Magari humu, ila baada ya kuona wengi ni kama nyie nikaacha, Biashara hiyo kubwa nafanya ofisini na kweye hayo magoup ya magari ya kuyosha, Humu mtu, hana uwezo hata wa kununua baskeli ila ukitangaza Gari anaponda, wakati yeye nauli anapewa na shemeji, nikaona upuuzi,
Ndio nyie, mtu ukijikung'uta sana unaweza panga chumba cha 50k ikitangaza ya 400k unawashwa, kwann usipite?