Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kakataa hiyo atamtafuta huyo mteja Kwa tochiMsipende kusingizia madalali bila kujua, mm nimepambana sana bei ishuke hizo nyumba, ila kutokana na ukaribu wake na road na kutokana na vitu vya dhamani alivyooweka mwenye nyumba kakomaa na hiyo bei,
Kumbuka mm hapo siangalii cha juu, naangalia ya mwezi, unadhan hata ikipangishwa kwa 200k mimi nikipata ya udalali ya mwezi nina hasara gani?
Nimepata mteja wa 350k nampeleka namuombea kwa mwenye nyumba kakataa, wewe hapo utasema ni dalali,
Nyumba kweli ni mpya na ni nzuri, na ziko karibu kabisa na barabara, ika bei imekomaa.. ngoja tuendelee kupambana huenda bei ikashuka.
Mngekuwa na roho nzuri mngekuwa mnapandishia watu kodi? Ungekuwa hapa karibu ningekukung'uta bonge la konzi utosi ukukae sawa uache kudai kodi ya mwezi kwenye nyumba usiyojua bei ya tofaliUngana na familia yako.. Mabao una roho ya korosho,
Mngekuwa na roho nzuri mngekuwa mnapandishia watu kodi? Ungekuwa hapa karibu ningekukung'uta bonge la konzi utosi ukukae sawa uache kudai kodi ya mwezi kwenye nyumba usiyojua bei ya tofali
Mkuu nikitaka Vyumba viwili na sebule maeneo ya kimara au mabibo naweza pata kwa sh ngapi????Jinga kweli wewe, unafaa vibao vya kelebu, Huna pesa kaa kimya, acha kulia lia kama Danga, nani alikuambia madalali wanapandisha kodi ya nyumba, acha upunguani wako, soma uzi viziri, Tafuta pesa, na fanya yako,