Nyumba inapangishwa Ubungo (Rombo) kituo cha kwanza cha mwendokasi kama unaelekea kimara, kutembea ni dakika nne tu toka kituo mwendo kasi, ni mita chache tu toka kituoni, ziko mbili kwenye compound, kila moja inajitegemea maji na umeme, nyumba zina vyumba viwili kimoja master, sebule, jiko la makabati, na choo cha pablic, nyumba ni mpya na haijawahi kuishi mtu, Nyumba zipo ndani ya fensi na usalama ni wa kutosha.
Kodi ni 400,000 kwa mwezi.
Kwa maelezo nichek kwa 0684448888 au 0713415537View attachment 1050980View attachment 1050981View attachment 1050982View attachment 1050983View attachment 1050984View attachment 1050985View attachment 1050987View attachment 1050989View attachment 1050990View attachment 1050991View attachment 1050992View attachment 1050993View attachment 1050994
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice lakini mazingira ya nje na bei hapana. vyumba viwili vya kulala nei la4?
mazingira ya nje hayaendani na laki 4 nyumba ya 2 rooms. labda kama bado hayajakamilika
hawa madalali hawana utu kabisa, Mikocheni na msasani nyumba ndio laki nne, sasa sijui hawa akina ngosha mnapandish sana bei, mwenye nyumba unakuta bei yake ni 250,000/ pm wao wanapandisha.Nice lakini mazingira ya nje na bei hapana. vyumba viwili vya kulala nei la4?
hiyo bei ni ya kiindi ya kikwete, kwa magufuli mbezi beach, mikocheni 350,00/- unapata jumba mavyumba mpaka ya kufugia kuku, watu wamehamia Dodom , majjumba yapo waziKabisa na hata bei kwa vyumba viwili vya kulala bado ni kubwa sana, na hana habari siku hizi nyumba zimepungua bei sana.........
hawa madalali hawana utu kabisa, Mikocheni na msasani nyumba ndio laki nne, sasa sijui hawa akina ngosha mnapandish sana bei, mwenye nyumba unakuta bei yake ni 250,000/ pm wao wanapandisha.
ngoja utapata wasukuma kutoka huko ushetu watapanga kwa huyo bei
hiyo bei ni ya kiindi ya kikwete, kwa magufuli mbezi beach, mikocheni 350,00/- unapata jumba mavyumba mpaka ya kufugia kuku, watu wamehamia Dodom , majjumba yapo wazi
Tu vyoo na tu jiko ni tudogo kama pirton. Nyumba zingekuwa zinapangishwa kwa meter square hii ingepangishwa kwa laki walah!
We kweli wa kupuliza...Kwani utakua unashinda chooni unakunya mpk choo kiwe kikubwa ka sebule?
Sent from my iPhone using JamiiForums