Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Uwe na aibu kuombaomba hela wanaume wenzako, huo ndio udangaji hasa. Mi ukiniomba hela ya mwezi lazima tupashe moto godoro, sitoi hela kijingajinga. Halafu punguza jazba, huna nyumba hapa mjini, unashadadia tu za watu. Nikikufuma siku yako lazima nikupige vibaoJinga kweli wewe, unafaa vibao vya kelebu, Huna pesa kaa kimya, acha kulia lia kama Danga, nani alikuambia madalali wanapandisha kodi ya nyumba, acha upunguani wako, soma uzi viziri, Tafuta pesa, na fanya yako,
Inategemea na ubora/Hadhi wa nyumba na umbali toka barabarani au kituoni, zipo za 250k mpaka 500kMkuu nikitaka Vyumba viwili na sebule maeneo ya kimara au mabibo naweza pata kwa sh ngapi????
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejenga mwaka gani?Inategemea na ubora/Hadhi wa nyumba na umbali toka barabarani au kituoni, zipo za 250k mpaka 500k
Hadi nimecheka mwenyewe, naomba pesa au natafuta? na usiilolijua ni kama usiku wa giza, nyumba ninayo fwatilia threds zangu, tena ninayo sehemu hata ukikaa miaka mia huwezi kumiliki sehemu ninayomiliki mimi, ndio mana nakuambia tafuta pesa acha kulalamika, ungekua unamiliki hata chumba kimoja usingekuja na utumbo wako hapa eti madalali wanapandisha kodi, inaelekea hujui hata bei ya tofali.. endelea kubishana kwenye mipira na siasa za kijingaUwe na aibu kuombaomba hela wanaume wenzako, huo ndio udangaji hasa. Mi ukiniomba hela ya mwezi lazima tupashe moto godoro, sitoi hela kijingajinga. Halafu punguza jazba, huna nyumba hapa mjini, unashadadia tu za watu. Nikikufuma siku yako lazima nikupige vibao
Ahaaa ok mkuuInategemea na ubora/Hadhi wa nyumba na umbali toka barabarani au kituoni, zipo za 250k mpaka 500k
We sio mzima, unatafuta hela kwenye nyumba za watu? Hizi shughuli zako na Bi Mkora zina tofauti gani? Hujui kodi wewe, unaishi kwa tantalila za nyumba za watu.Hadi nimecheka mwenyewe, naomba pesa au natafuta? na usiilolijua ni kama usiku wa giza, nyumba ninayo fwatilia threds zangu, tena ninayo sehemu hata ukikaa miaka mia huwezi kumiliki sehemu ninayomiliki mimi, ndio mana nakuambia tafuta pesa acha kulalamika, ungekua unamiliki hata chumba kimoja usingekuja na utumbo wako hapa eti madalali wanapandisha kodi, inaelekea hujui hata bei ya tofali.. endelea kubishana kwenye mipira na siasa za kijinga
Ndio mana nakuambia tafuta pesa uache kulalamika, utaolewa ndugu, unadhani nategemea wa nyumba tu, hata wa magari pia na kilimo pia, na pia baba mwenye nyumba, utaishia majungu ndugu, pesa ninayoingiza kwa mwezi utasumbuka sana kuipata, ukitaka unijue vizuri njoo ofisini kwangu sinza kwa remi, ndio ujue watu tunafanya kaziWe sio mzima, unatafuta hela kwenye nyumba za watu? Hizi shughuli zako na Bi Mkora zina tofauti gani? Hujui kodi wewe, unaishi kwa tantalila za nyumba za watu.
Mkuu Manzese naweza pata fremu..Frem Ipo kariakoo gerezani Inapangishwa laki 7 kodi ya mwaka Ipo mtaa mzuri wa biashara
Acha kupata moto dogo, mi nakuzingua tu acha kujianika.Ndio mana nakuambia tafuta pesa uache kulalamika, utaolewa ndugu, unadhani nategemea wa nyumba tu, hata wa magari pia na kilimo pia, na pia baba mwenye nyumba, utaishia majungu ndugu, pesa ninayoingiza kwa mwezi utasumbuka sana kuipata, ukitaka unijue vizuri njoo ofisini kwangu sinza kwa remi, ndio ujue watu tunafanya kazi
Ila ukweli ni kwamba ungekua na pesa za kupanga hata chumba cha 50k usingekua unalalamika, Utaishia kuishi kwa shemeji..
Hivi kweli mtu mwenye uwezo wa kulipa 400k kwa mwezi *6 angekua analalamika hivyo kama Bar maid alietorokwa na mteja?View attachment 1059766View attachment 1059767
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha kujificha hapo ni biashara, kwani mtu akijua ninahusika na magari kuna shida gani, au akijua ofisi zangu zipo sinza kuna shida gani? sifanyi kazi kiujanja ujanja dogo, najiamini.Acha kupata moto dogo, mi nakuzingua tu acha kujianika.
πππ Fala kweli wewe! Unafikiri na mimi napata moto kama wewe kwamba ukisema nakaa kwenye chumba kimoja basi nitajitutumua nianze kupost picha za nyumbani kwangu?Sina cha kujificha hapo ni biashara, kwani mtu akijua ninahusika na magari kuna shida gani, au akijua ofisi zangu zipo sinza kuna shida gani? sifanyi kazi kiujanja ujanja dogo, najiamini.
Zamani nilikua natangaza biashara za Magari humu, ila baada ya kuona wengi ni kama nyie nikaacha, Biashara hiyo kubwa nafanya ofisini na kweye hayo magoup ya magari ya kuyosha, Humu mtu, hana uwezo hata wa kununua baskeli ila ukitangaza Gari anaponda, wakati yeye nauli anapewa na shemeji, nikaona upuuzi,
Ndio nyie, mtu ukijikung'uta sana unaweza panga chumba cha 50k ikitangaza ya 400k unawashwa, kwann usipite?
πππ Fala kweli wewe! Unafikiri na mimi napata moto kama wewe kwamba ukisema nakaa kwenye chumba kimoja basi nitajitutumua nianze kupost picha za nyumbani kwangu?
Haya bana nenda zako kapige kazi mi nakuzingua tu. By the way nina viatu vya zamani hapa unaweza kuvitumia, najua mdau matumizi yako ya viatu kwa mwezi unaenda sambamba na roli linalovuka boda mara 3 kwa mwezi linavyoingia superdoll
Asante kwa wema wako. Ninakaa kwa shemeji yangu, sasa unaponiahidi kodi ya mwaka mzima maana yake utalazimika kuja kumwamkia shikamoo kila asubuhi mwaka mzimaHahaa mkuu, hua nakujibu coz unafanya Uzi wangu kua juu, ila tu nikuambie ukweli, kwa tabia zako za kujibu hivyo inaakisi na mazingira unayoishi, Hata ukituma picha za unakoishi, yani kama utanizidi nakulipia kodi ya mwaka.
Kama hiyo tu inakutoa povu basi yangu itakutoa na utumbo kabisa, hivyo vitu vya zamani sidhani kua hata kwenye uzio wangu ambao ni electric fence vina hadhi ya kuingia, wewe endelea kufugia panya na mijusi