Biashara haramuuuu hii zaidi ya kuuza ngada kwamba kwasababu ya udalali wako ule 11m pole ukizipata lete mrejesho tukuchangie 5m.Hii ni Biashara yangu,
Hivyo napanga mimi.
Mpuuzi Mkweo, Kenge wewe.
Inauzwa Shilingi ngapi?Hii ni nyumba nzuri ya kisasa yenye nafasi.
Ipo eneo la KWAMKONGO, MBAGALA CHAMAZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Na Parking ina Paving Blocks.
HII NI NYUMBA YA KUHAMIA.
HUHITAJI HATA KUPIGA DEKI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Utafikiri we ndo mwenye maliTafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
Ndugu,Biashara haramuuuu hii zaidi ya kuuza ngada kwamba kwasababu ya udalali wako ule 11m pole ukizipata lete mrejesho tukuchangie 5m.
Biashara yako au wewe dalali tu?Hii ni Biashara yangu,
Hivyo napanga mimi.
Mpuuzi Mkweo, Kenge wewe.
Kwa hiyo hicho kijibanda kinauzwa 121m, mbagala?Itapendeza, ama nini?
hoja nyumba haina thamani ya 110mHujakosea.
Yote uliyoyasema ni kweli
Hoja yako nini?
Yeye ni dalali, Mali ya thamani ya mil 40 dalali anakutajia mil 110Utafikiri we ndo mwenye mali