issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,850
- 12,742
Tunaomba serikali iwatungie Sheria, mlipe Kodi sio kuvimbiana matumbo kwa pesa za dhuruma na utapeliSawa leta Posa.
Tunaomba serikali iwatungie Sheria, mlipe Kodi sio kuvimbiana matumbo kwa pesa za dhuruma na utapeliSawa leta Posa.
Anawashwa Mama Yako Mwambie Achemshe Maji ya Moto Akimwagie Kiharage. Ukiambiwa ukweli Unatuona Jau Ukizipata Hizo 11m Tutakuongezea 5m Wanakung'ata kweli Udalali nayo ni kazi au utapeli tuNdugu,
Makasiriko ya nini?
Yaani vyovyote ilivyo wewe unawashwa wapi?
Hujaombwa wala kualikwa.
Kama ni stress tafuta pengine pa kuzipunguza.
Jenga yako ndio upange masharti yakijinga hivyo sipendi kabisa madalali binafsi ninamiliki vyumba kafhaa vya kupangisha ila uwa sishirikishi dalaliHii ni Biashara yangu,
Hivyo napanga mimi.
Mpuuzi Mkweo, Kenge wewe.
Hii ni nyumba nzuri ya kisasa yenye nafasi.
Ipo eneo la KWAMKONGO, MBAGALA CHAMAZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Na Parking ina Paving Blocks.
HII NI NYUMBA YA KUHAMIA.
HUHITAJI HATA KUPIGA DEKI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Jenga yako ndio upange masharti yakijinga hivyo sipendi kabisa madalali binafsi ninamiliki vyumba kafhaa vya kupangisha ila uwa sishirikishi dalali
Wahi usichelewe.
'Mamlaka ya dalali' yanatoka kwny Sheria ipi?Nyumba sio yangu, na hapo inaongea 'Mamlaka' ya Dalali.
Kwani wewe unaamuaje?
Una Mama kweli wewe?
Anyway, sawa.
Kafie mbele Wazike au WasafirisheUna Mama kweli wewe?
Anyway, sawa.
Wanatamaa sanaKwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!
Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.
Acheni tamaa yani 11 milion yote uchukue pasipo msingi wowote🤣🤣🤣Sasa unawafuatafyata hao madalali,
wa nini?
Hujaulizwa chochote unabwabwaja haya tushajua una nyumba tulia.
hio 110m umejumlisha na gharama ya kumuoa dalali au ?Hii ni nyumba nzuri ya kisasa yenye nafasi.
Ipo eneo la KWAMKONGO, MBAGALA CHAMAZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 (Kila Chumba na Choo chake ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Na Parking ina Paving Blocks.
HII NI NYUMBA YA KUHAMIA.
HUHITAJI HATA KUPIGA DEKI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________rr
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Huna biashara yoyote hapo dalali ni tapeli tu kama matapeli wengineHii ni Biashara yangu,
Hivyo napanga mimi.
Mpuuzi Mkweo, Kenge wewe.
Wee ni tapeli, em kwenda huko.Hii ni Biashara yangu,
Hivyo napanga mimi.
Mpuuzi Mkweo, Kenge wewe.