Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

Huu uzi unachekesha sana, nimependa majibu ya dalali..!!
Ila dalali humu hamna wanunuzi ndiomana kelele na ujuaji mwingi..!! 😹😹

Hao mnaobishana wote wanaishi chamazi na chanika 🤣
Ila udugu acha utani, huyu dalali ni tapeli,
Nilimkomesha m1 kwenye nyumba niliyotaka kupanga, hatanisahau yule mbwa, dadekiii.
😂😂😂😂😂
 
Kwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!

Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.
Commission haipaswi kuzidi 3 percent. Huyu anataka kutajirika
 
Huu uzi unachekesha sana, nimependa majibu ya dalali..!!
Ila dalali humu hamna wanunuzi ndiomana kelele na ujuaji mwingi..!! 😹😹

Hao mnaobishana wote wanaishi chamazi na chanika 🤣
Mkuu,
Nayajua hayo na muda ninao leo wa kuwajibu.
Majingamajinga huwa sina muda wa kuyajibu na nipo muda mrefu JF kwahiyo Siasa za humu nazijua vilivyo.
 
Back
Top Bottom