We utafilwa qmmko nyie ndio mnakzwer mjiniNdio, njoo ukiwa umebong'oa.
Daaah mkuu wangu, sasa kwanini upigane na ukuta aisee 🤣🤣Kwa Milioni 121 (pamoja na udalali wako) mwenye nyumba kashindwa kuweka hata holder za taa za Tsh 2000, kaishia kuacha matundu tu.
Hizo ndio zile za jenga uza. Rangi nzuri, ukipiga ngumi ukuta unapuputika.
Mchawi hapa Anastasia21 ..akiikubali basi nanunua bby afurahiNyie nitawapunguzia % kadhaa mkija.
Kwa hiyo nyumba ya billion dalali anakula 100 mil kweli?Jamani muoneeni huruma dalali, na yeye analisha familia. Kikubwa najua mazungumzo yapo tu.
Kwa kweli, leo wadau wamekuwa wakali sana hadi wanaogopesha!Jamani muoneeni huruma dalali, na yeye analisha familia. Kikubwa najua mazungumzo yapo tu.
Karibu Moro kwa hiyo 110m nakupatia nyumba safi unasalimiwa na hewa safi ya milima ya uluguru kila asubuhi.Mchawi hapa Anastasia21 ..akiikubali basi nanunua bby afurahi
Tatizo hii sekta ya real estate haina perfect information / knowledge.Kwa hiyo nyumba ya billion dalali anakula 100 mil kweli?
watanzania tuwapendeni madalali jamaniKwa kweli, leo wadau wamekuwa wakali sana hadi wanaogopesha!
Ila huu uzi umenichekesha sana usiku huu, daah! 😄 🤣
mods wajae hapaWe ****** unajua Bei ya Kiwanja chenye ukubwa wa SQM.700 na ambacho KIMEPIMWA?
au unawashwa kabla ya kuongea huo uchoko wako??
Pengine unatafuta Bwana Mbwa wewe.