Nyumba mpya, Vyumba vinne (4) TSh. 110 Milioni, Mbagala Chamazi

Sio chumba, ni nyumba bhana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 


Huyo 'Makalio' muongo labda azungumzie mtu mwingine,
Sio mimi.
 
Kwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!

Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.
Nyumba haina hadhi ya 110m hapo chamazi hakuna nyumba yenye hiyo hadhi period!!
 
Kwa hiyo mnunuzi akitoa hiyo milioni 110,000,000! Atatakiwa pia kukukabidhi Mheshimiwa dalali milioni 11 taslimu pesa za Kitanzania! Na bado kuna mawakili, serikali, nk!!

Hakika Madalali mtakufa kifo kibaya sana kwa kuendekeza tu hizi tamaa zenu.

Anafikiri hela zinaokotwa. Bora angesema yake 1m au 2m.
 
Kwa bei hii chamanzi HAPANA pia unatoa milioni 110 ww unapewa makaratasi eti ya mjumbe/mwenyekiti wa serikali ya mtaa? Kweli. Hii inaitwa Jenga uza ni hatari uko chamazi.unakuta juu kumepigwa mirunda,bati reject kiwandani lakini wamepiga RANGA kama msauzi,shimo la choo ni futi 4 juu limefunikwa na mirunda, tofali mchanga w bichi ratio cement moja tofali 65.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…