Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Demu wa kiba ni nani??
Labda salama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu wa kiba ni nani??
Labda salama...
Basi kiba Ana demu mkari.halafu ni bikra
Ali k anafata nyayo tu, hadi diamond afanye kitu flan ndo naye atakifanya,
Hhhaa yaan mnaxhekeshaaaa
Hiyo nyumba ya kiba nimeanza kuisikia kitambo..sio kweli kwamba anamuiga dai..by the way kuiga kitu kizuri si dhambi wala kosa
Wanamchoresha tu Kiba, am very certain Kiba hajatoa hizo picha... ni muendelezo ule ule, watu wanatengeneza page fake ya BBC na kusema Kiba anataka kufanya featuring na Chris Brown! Ukiangalia kwa makini hiyo picha, utagundua kwamba hata mazingira yake sio ya Dar es salaam, and I doubt kama ni Tanzania... angalia hiyo fence kisha angalia geographia ya nje au angalia picha ya kwanza kisha uangalie uoto wa nje na ndani ya fence... it's some kind of heritage building far dated 20 if not 19 century! Picha ya chini, ukiifuata nguzo hadi juu, utaona cracks... kwa jengo lenye kuta nene kama hizo you don' expect ukutane na cracks wakati hata kwisha haijaisha! Ukiangalia hiyo fence, ni old architectural desgin!!!yani bado tu mnatuletea pale pale,, nyumba gani daily haieleweki. ahamie tuone
Na bado....mtasema yote mwaka huu.Eti Abou Saydou Avemaria atoto geniveros Ms.Lincoln si mnaikumbuka hii?
maneno ht kwenye kanga yapo
wapuuze tuuu
Wanamchoresha tu Kiba, am very certain Kiba hajatoa hizo picha... ni muendelezo ule ule, watu wanatengeneza page fake ya BBC na kusema Kiba anataka kufanya featuring na Chris Brown! Ukiangalia kwa makini hiyo picha, utagundua kwamba hata mazingira yake sio ya Dar es salaam, and I doubt kama ni Tanzania... angalia hiyo fence kisha angalia geographia ya nje au angalia picha ya kwanza kisha uangalie uoto wa nje na ndani ya fence... it's some kind of heritage building far dated 20 if not 19 century! Picha ya chini, ukiifuata nguzo hadi juu, utaona cracks... kwa jengo lenye kuta nene kama hizo you don' expect ukutane na cracks wakati hata kwisha haijaisha! Ukiangalia hiyo fence, ni old architectural desgin!!!
Na bado....mtasema yote mwaka huu.Eti Abou Saydou Avemaria atoto geniveros Ms.Lincoln si mnaikumbuka hii?
Yah Dada naikumbuka