Wanamchoresha tu Kiba, am very certain Kiba hajatoa hizo picha... ni muendelezo ule ule, watu wanatengeneza page fake ya BBC na kusema Kiba anataka kufanya featuring na Chris Brown! Ukiangalia kwa makini hiyo picha, utagundua kwamba hata mazingira yake sio ya Dar es salaam, and I doubt kama ni Tanzania... angalia hiyo fence kisha angalia geographia ya nje au angalia picha ya kwanza kisha uangalie uoto wa nje na ndani ya fence... it's some kind of heritage building far dated 20 if not 19 century! Picha ya chini, ukiifuata nguzo hadi juu, utaona cracks... kwa jengo lenye kuta nene kama hizo you don' expect ukutane na cracks wakati hata kwisha haijaisha! Ukiangalia hiyo fence, ni old architectural desgin!!!