Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Hongera zake ila zisiwe za kuDownload tu maana wasanii kwa Usanii si mchezo.
Picha ya pili Mguu wa kulia atakaa je akitaka kukata GOGO? Inabidi aelekee upande wa kushoto Miguu yote. Kabananisha sana kwenye CHOO.
 
yani bado tu mnatuletea pale pale,, nyumba gani daily haieleweki. ahamie tuone
 
Hiyo nyumba ya kiba nimeanza kuisikia kitambo..sio kweli kwamba anamuiga dai..by the way kuiga kitu kizuri si dhambi wala kosa

Bora useme wewe.Hiyo baraza aliionesha long time hadi tukajiuliza ni kasri ama nini?
Hiyo ndiyo nyumba ya King bwana...na bado.
 
yani bado tu mnatuletea pale pale,, nyumba gani daily haieleweki. ahamie tuone
Wanamchoresha tu Kiba, am very certain Kiba hajatoa hizo picha... ni muendelezo ule ule, watu wanatengeneza page fake ya BBC na kusema Kiba anataka kufanya featuring na Chris Brown! Ukiangalia kwa makini hiyo picha, utagundua kwamba hata mazingira yake sio ya Dar es salaam, and I doubt kama ni Tanzania... angalia hiyo fence kisha angalia geographia ya nje au angalia picha ya kwanza kisha uangalie uoto wa nje na ndani ya fence... it's some kind of heritage building far dated 20 if not 19 century! Picha ya chini, ukiifuata nguzo hadi juu, utaona cracks... kwa jengo lenye kuta nene kama hizo you don' expect ukutane na cracks wakati hata kwisha haijaisha! Ukiangalia hiyo fence, ni old architectural desgin!!!
 

Nilivoona tu hii nikakumbuka pegi fake ya BBC, tulivyohoji kuhusu verification ya hizo taarifa na ku doubt ili kupata the benefit of doubt, mashabiki wakatujia juu eti tuna wivu. Mhhh let me zip my mouth kwa hili. I like diamond platinum coz he never dissapoints.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…