Nyumba mpya ya Ally Kiba yadaiwa kufunika ya Diamond

Yaani mtu uonee wivu habari za uongo... kwanza zile za BBC ndo wala ckujisumbua kuchangia coz' ktk mazingira ya kawaida mtu alitakiwa kutoa link badala ya screenshot na kv usually page ya BBC Swahili huwa naitembelea, wala sikuchelewa kufahamu kwamba ni created page. Kuhusu hiyo nyumba, ni afadhali wasinge-include hilo fence ambalo moja kwa moja linaonesha ni jengo la aina gani...
 
Tunakujua Team diamond
 
Bora useme wewe.Hiyo baraza aliionesha long time hadi tukajiuliza ni kasri ama nini?
Hiyo ndiyo nyumba ya King bwana...na bado.

Kwa hyo hawa mbwa wanataka nyumba nzur ajenge ndomo tu? Na kwa taarifa nyumba yenyewe kasaidiwa kujenga sijui na mashabiki cjui mabwana zake anajua yeye, watuachie king wetu wa miaka miaa
 
Angekuwa diamond usinge doubt? Huu ushabiki sasa too much, binamu uache chuki binafsi
 
Tunakujua Team diamond
Duh! Is this all you can say? Yaani unaamini kabisa hizo picha zimetolewa na Ali Kiba? Anyway, mimi sio Team Diamond lakini ni shabiki wa Diamond! Pamoja na yote hayo, sina wivu wa kijinga! Malezo ya mleta mada haya hapa:
Baadh ya picha ambazo Kiba ashazitoa ,inaonekana anatoa taratibu taratibu mpaka Team Mond isome namba
Naomba unisaidie wewe sasa... Kiba ame-post wapi hizo picha?
 
Wapi utapata eneo kama hilo ? Sema wapi tukaone wenyewe. Tuna mafuta ya kutosha. Picha za mtandao hizo.
 
Angekuwa diamond usinge doubt? Huu ushabiki sasa too much, binamu uache chuki binafsi
warumi, hunifahamu vizuri... kama unadhani mimi ni mtu wa ku-swallow kila kitu, then you're very wrong! Issue hapa sio ku-doubt coz' kila kitu kipo wazi! Halafu kwa taarifa yako, tofauti na nyie wengine ambao moja kwa moja mnaonesha chuki kwa Diamond mie sina chuki dhidi ya Kiba na hapa nimeshasema mara kibao hata nyimbo zake nasikiliza lakini kama ambavyo Tanzania kuna timu za soka 14, mtu unachagua moja... sawa na ambavyo duniani kuna timu kibao za soka, watu tunaamua kuchagua Arsenal! Lakini kwa hizo picha, unless kama unatumia Mchina lakini zinaonekana wazi kwamba ni jengl la kale... angalia picha ya chini kisha cheki ukuta wake!!! Ni watu tu wame-post na kusema ame-post Ali Kiba na ndio maana nimekuuliza hapo awali, Kiba ame-post kwenye social media ipi hizo picha?

Mngekuwa kweli mnampenda Kiba, basi mngemwepusha na hizo picha coz' kesho na kesho kutwa ni hao hao ndio watakaosema Kiba ana-post picha za uongo na kusingizia kwamba ni mjengo wake wakati aliye-post hizo picha sio Kiba!
 
Hizi ni picha za kwenye mitandao wala hazina uhusiano na Alikiba kabisa...! Muulize mtoa mada ni wapi na lini Alikiba ameziachia picha za aina hiyo?

Wanapenda kumuweka mwenzao aishi under pressure, kwa kumpambanisha na Chibu, hadi wanamfanya vitu vingine aharibu! Si tuwaangalie tu tucheke, hakuna kitu kilinichekesha kama collabo na Chris Brown. Nilipoiona tu hiyo link nilijua ni ya uongo lakini nikashangaa watu wanavyoshabikia.
 
Kwa hyo hawa mbwa wanataka nyumba nzur ajenge ndomo tu? Na kwa taarifa nyumba yenyewe kasaidiwa kujenga sijui na mashabiki cjui mabwana zake anajua yeye, watuachie king wetu wa miaka miaa

Hahahaaa,aisee watu wanatoka povu sijapata ona.Kuna baadhi ya picha hapo juu tuliwahi kuweka kwenye uzi wetu na tukajadili vya kutosha.
 
Hizi ni picha za kwenye mitandao wala hazina uhusiano na Alikiba kabisa...! Muulize mtoa mada ni wapi na lini Alikiba ameziachia picha za aina hiyo?

Nilikua na picha mbili za hilo kasri la King Kiba kwenye library yangu nimetafuta sijaziona na nimekumbuka kua nimebadili device ndio maana.Hata hivyo nikipata muda nitaenda kuzitafuta katika ule uzi wa Kiba fans.
Kwema lakini?
 
Teh Teh kuna watu wana amini kabisa hizo picha ni za kweli na hata ukienda kwenye page ya Alikiba hakuna kitu kama hicho.Wana msingizia.
 
Nilikua na picha mbili za hilo kasri la King Kiba kwenye library yangu nimetafuta sijaziona na nimekumbuka kua nimebadili device ndio maana.Hata hivyo nikipata muda nitaenda kuzitafuta katika ule uzi wa Kiba fans.
Kwema lakini?

Teh Teh .. nifah kwema kabisa ...uknw hata kwenye page yake hakuna hizo picha...mtoa mada kazitoa wapi hizo?
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh .. nifah kwema kabisa ...uknw hata kwenye page yake hakuna hizo picha...mtoa mada kazitoa wapi hizo?

Hiyo ya jakuzi na gypsum sijawahi kuziona ila ukuta huo wa kibaraza na uwanja nimewahi kuziona na nyingine pia.
Subiri nipate muda.
 
Last edited by a moderator:
Munaanza kufuta kauli taratibu kutoka Daimond hana nyumba ila anapagala sijui pagale hadi kulinganisha nyumba yake na Hotel (wenyewe munasema nyumba ya Ally)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…