Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Bado sijakupata
Ama kuwa na nyumba ndogo ndio uanaume wenyewe?
Dah....Uanaume siyo kulialia hovyo..hasa kwa vitu ulivyovifanya mwenyewe...bila kulazimishwa na mtu...uanaume ni kupambana na hali yako...Hebu karudie kuusoma uzi upya...😎
 
Dah....Uanaume siyo kulialia hovyo..hasa kwa vitu ulivyovifanya mwenyewe...bila kulazimishwa na mtu...uanaume ni kupambana na hali yako...Hebu karudie kuusoma uzi upya...😎

Uanaume ni kutulia na mkeo
Period
Hayo mengine ni kijishusha tu
 
Huna akili mzeee
 
pole jikomboe sasa maana tayari umeshajitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…