Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Dah ....nasikitika Sana...wanaume tunazidi kupungua..[emoji41] [emoji41] [emoji13]
 
Nyumba ndogo ni jambazi la mchana,pole sana rudi nyumbani ukatubu.Hakuna mtu yoyote aliyefanikiwa baada ya kuwa na haya majizi ya nyumba ndogo
 
Endeleeeni tu kutiwa ufukara na hivyo vi dunga embe sisi wengine tumetulia na wake zenu

Tukipata bamia tunakuka

Tukipata nyama tunakula

Maisha muruaaaaaaaa
 
Utakuwa na mchepuko mmoja ndio maana. Solution ni DIVERSIFY YOUR PORTFOLIO.
 
Mkuu tunaomba mjeresho wa hii laana yako kwa mchepuko,vipi ilifanya kazi ama ilikurudia[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom