Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Wengi mmeongea lakini ni vizuri kujua chanzo kilichomfanya mzee mpaka akaamua kuwa na nyumba ndogo,tusitake kutoa ushauri na kejeli ilhali hatujajua jinsi ya kutumia T3
tiGO ndo ilisababisha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi mmeongea lakini ni vizuri kujua chanzo kilichomfanya mzee mpaka akaamua kuwa na nyumba ndogo,tusitake kutoa ushauri na kejeli ilhali hatujajua jinsi ya kutumia T3
sasa ni hivi block no zao wasikupate kabisa,rudisha mapenzi kwa mkeo,ule muda uliokuwa unautumia kwenda huko nenda home kacheze na wanao,,jumamosi nenda park,beach ,kigamboni zoo,au unapata berbecue na familia yako home,jpili kanisani naamini wewe ni mkristo maana nyie ndo mabingwa wa nyumba ndogo mnamuaibisha sana kristo
Acha mashairi yako wewe!!! Sisi watu wazima nyumba ndogo ni lazima na familia tunaziendesha kama kawaida. Tatizo lako wewe badala ya kumpa nyumba ndogo hadhi yake, unamfanya ndo nyumba kubwa, kalaghabaho!!! Akikuambia sweet I love you mtukane mkeo, unamtukana mkeo mbele yake. Nyumba ndogo anatakiwa akizungumza lolote baya au la dharau kwa familia yako, hasa mkeo na watoto kabla hajamalizia unmnasa kibao!!!
Duuh! kweli shubiri huwa tamu na asali kuwa chungu...Mambo ya tiGO hayo......Maana kama alikuwa haipati kwa mkewe alipoenda mpango wa kando akagawiwa......Ndo hayo yaliyomkuta. kuja kutahamaki amefilisika!!!
Pole, But it was your Choice, and you attended them WillinglyNaja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani:
1. Mmenifanya nimdharau mke wangu. Mke wangu ameishi kwa masikitiko na manyanyaso yote ni sababu yenu.
2. Familia yangu nimeitekeleza. Kila nikitakiwa kutoa pesa najiona kama naonewa, si jukumu langu tena. Imekuwa kama natoa msaada. Mmenifanya nini nyie viumbe mliolaaniwa.
3. Mmeichukua Furaha ya Familia yangu. Sina muda wa kukaa na familia yangu. Mmenifunga na kufungik. Nyie viumbe mso na Huruma.
4. Mmenimiliki kama Asset yenu. Akili yangu mmeishika ikashikika. Nimeshindwa kuwekeza chochote, pesa zote mmezifyonza kama Viwavijeshi wanavyokula Shambani. Kuweni na huruma. Ihurumieni familis yangu. Mungu yupo awalaani.
Hivi kweli mnamjua mungu kweli. Mmeshindwa kuionea hurum familia yangu, mmeshindwa kuwaonea huruma watoto wangu wanavyopata tabu. Kila mkiniona na senti mnajifany mna hamu, kumbe ni ili mniikwapue.
Penzi lenyewe la kupimiwa kama umeme wa Luku. Haupatu hadi ujaze fomu ya maombi.
Mungu awalaani hadi mshangae!!
Dada samahani naomba namba ya simu,naona uko unique sanaHa ha ha amhonge nani?mie nahonga bana kwani uwezo ninao hua nahitaj mshedede2 sometimes pesa kwangu si ishu
Haaaaahaa kumbe tupo wengi. Nyie wadada Mungu anawaona mjueKujivua gamba nimeshindwa. Wananiona kama Boya. I love you nyingi kumbe za wizi.
[emoji16][emoji16]asante sana,,, kakutana na waswahili uko anakuja kutulalamikia uku. ..mie ckatai nyumba ndogo kweli na hakikisha watoto wanakula kabla mie na baba yao hatujasosomola manyama.
Tatizo lako nyumba ndogo yako inaendesha mambo kiswazi.
Ukimpata msomi wa kidijital kama mie usingekuja kulalamika home
Tamaa zako ndio zilikuponza hakuna anae laaniwa hapoNaja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani: