Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Pole Sana Mzee kwa yaliokukuta

Ila ni wewe mwenyewe ndio chanzo cha hayo yote

Mshukuru sana Mungu , umeweza kujikwamua kwa kutambua kwamba umekua mwiba kwa familia yako
 
Last edited by a moderator:
Wengi mmeongea lakini ni vizuri kujua chanzo kilichomfanya mzee mpaka akaamua kuwa na nyumba ndogo,tusitake kutoa ushauri na kejeli ilhali hatujajua jinsi ya kutumia T3
 
We unakuwaje Mzee halafu kilaza namna hii. You chose to mess with your life, short and clear. Stop blaming other people for your stupid choices. Grow up and take responsibilities for your apparently stupid decisions you made.

Mimi hata nikiwa na nyumba ndogo, siku nikipata matatizo kwa sababu hiyo siwezi kulaumu hizo nyumba ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Wengi mmeongea lakini ni vizuri kujua chanzo kilichomfanya mzee mpaka akaamua kuwa na nyumba ndogo,tusitake kutoa ushauri na kejeli ilhali hatujajua jinsi ya kutumia T3
Vyovyote vile au kwa sababu yeyote ile, huyu kilaza hana haki ya kulaumu nyumba ndogo PERIOD.
 
ulaaniwe wewe kwanza..maana ndo uliwatafuta..unavuna ulichopanda
Naja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani:

1. Mmenifanya nimdharau mke wangu. Mke wangu ameishi kwa masikitiko na manyanyaso yote ni sababu yenu.

2. Familia yangu nimeitekeleza. Kila nikitakiwa kutoa pesa najiona kama naonewa, si jukumu langu tena. Imekuwa kama natoa msaada. Mmenifanya nini nyie viumbe mliolaaniwa.

3. Mmeichukua Furaha ya Familia yangu. Sina muda wa kukaa na familia yangu. Mmenifunga na kufungik. Nyie viumbe mso na Huruma.

4. Mmenimiliki kama Asset yenu. Akili yangu mmeishika ikashikika. Nimeshindwa kuwekeza chochote, pesa zote mmezifyonza kama Viwavijeshi wanavyokula Shambani. Kuweni na huruma. Ihurumieni familis yangu. Mungu yupo awalaani.

Hivi kweli mnamjua mungu kweli. Mmeshindwa kuionea hurum familia yangu, mmeshindwa kuwaonea huruma watoto wangu wanavyopata tabu. Kila mkiniona na senti mnajifany mna hamu, kumbe ni ili mniikwapue.

Penzi lenyewe la kupimiwa kama umeme wa Luku. Haupatu hadi ujaze fomu ya maombi.


Mungu awalaani hadi mshangae!!
 
Nyumba ndogo gani hiyo inakupa Stress namna hiyo?

Kosa lako ulifanya nyumba ndogo kuwa kubwa na kubwa kuwa ndogo.
 
we mzee njoo nikufundishe jinsi ya kuwafanya hawa small house, mi kuna mmoja aliniomba nitae friji nyumbani nimpelekee yeye, hadi leo hana hamu, tatizo lako unaogopa kuambiwa tuachane kama vipi, siku hizi ni hit and run
 
kumbe mnafundisha kwenda vibanda hasara, msije kulalamika hapa!
 
unawalaani walikuita????/ ulaaniwe wewe mtoa mada hii.
 
kucheka ntacheka kimoyo moyo....
Ad huruma....lol
mtu unachunwa hadi unasikia maumivu!
Duh
 
we mzee njoo nikufundishe jinsi ya kuwafanya hawa small house, mi kuna mmoja aliniomba nitae friji nyumbani nimpelekee yeye, hadi leo hana hamu, tatizo lako unaogopa kuambiwa tuachane kama vipi, siku hizi ni hit and run

wa hivyo alaaniwe kweli.
mi kuna mmoja alitaka nimfukuze wife. akawa anampigia wife na kumwabia eti ampishe - kuona hivyo nikakata kamba moja kwa moja.
 
ulaaaniwe wewe Mzee mtu mzima mwenye mvi mpaka kwenye mstari wa ikweta usiyejua matumizi ya nyumba ndogoThe Boss na Asprin mpeni the guide huyu jendaheka
amu, huyu babu vipi....kuna aliyembeba kumpeleka kwa hizo nyumba ndog?
 
Last edited by a moderator:
Wamekupata vipi? au ulianza kuwatafuta ukajikuta at a point of no return... kwanza inabidi usomewe ujikwamue nao halafu ndio uanze kuwapa laana kama bado unao laana haifiki....

Mambo ya tiGO hayo......Maana kama alikuwa haipati kwa mkewe alipoenda mpango wa kando akagawiwa......Ndo hayo yaliyomkuta. kuja kutahamaki amefilisika!!!
 
Back
Top Bottom