Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

Uniwie radhi mkuu siku zote mtu mwenye hekima hawezi laumu mtu mwingine kwa yanayomkuta kutokana na maamuzi yake mwenyewe ya kipuuzi

katika ulimwengu wa roho wanawake wamepewa nguvu sana, ulishafanya yaache yapite kabisa omba msamaha kwa mke wako then hao nyumba ndogo usipokee simu zao wala kujibu sms zao stick to your wife kaka.... utamu wa mapenzi ni hisia zako mwenyewe hayo mengine ni shetani tu anaamwua kukuendesha na kuona eti mke wako hakufai usilikubali hilo tamka kwa kinywa chako mke wangu ananifaa kuliko mwanamke yeyote
 
Uko sahihi
 
Ww huna utofauti na f@l@ unashindwa kutofautisha kati ya mke na nyumba ndogo. Unawezaje kutema big g kwa karanga za kuonjeshwa? Wanaume kamili nje tunafuata kubadilisha mboga tu. Mipango ya maisha tunapanga na wake zetu.
 
We jamaa unazingua...kwan hao nyumba ndogo walikushikia bunduki ati uwe nao kwa lazima??? Utalaaniwa mwenyewe
 
Wanaume tunashindwa kukumbuka kuwa
kule kushindilia unakoshindilia,unadhani unamkomoa mtu
kumbe unaushindilia shimoni uchumi wako.
Maadam umeshtuka mshukuru Mungu.Rudi nyumbani kwako.
 
Pole mkuu hapo ushanyweshwa ile chai iliochujiwa Kyupi....kapunguza dozi naona akili kama zimerudi...pole sana ila hizo ndio faida za kidumu baki njia kuu hamna namna
 
Chai gani hiyo mkuu?
 
mie ckatai nyumba ndogo kweli na hakikisha watoto wanakula kabla mie na baba yao hatujasosomola manyama.
Tatizo lako nyumba ndogo yako inaendesha mambo kiswazi.
Ukimpata msomi wa kidijital kama mie usingekuja kulalamika home
Safiii waambie hao..roho mbaya haijengi hata km wewe ni nyumba gani unapata faida gani watoto wa huyo mkubwa wakiteseka? Sio kila nyumba ndogo ni washenzi huyu mtoa uzi ni mshamba na kaenda kwa wapuuzi wenzie wamemnyoosha..kaa na familia yako km ukiona akili yako ni ndogo huwezi kuji control.
 
Back
Top Bottom