Faith HJ
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 177
- 215
Uniwie radhi mkuu siku zote mtu mwenye hekima hawezi laumu mtu mwingine kwa yanayomkuta kutokana na maamuzi yake mwenyewe ya kipuuzi
katika ulimwengu wa roho wanawake wamepewa nguvu sana, ulishafanya yaache yapite kabisa omba msamaha kwa mke wako then hao nyumba ndogo usipokee simu zao wala kujibu sms zao stick to your wife kaka.... utamu wa mapenzi ni hisia zako mwenyewe hayo mengine ni shetani tu anaamwua kukuendesha na kuona eti mke wako hakufai usilikubali hilo tamka kwa kinywa chako mke wangu ananifaa kuliko mwanamke yeyote