nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,085
- 15,197
Naam hasa afya ya akili..
Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi.
Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia,
Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza.
Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya mpaka Abdallah kichwa wazi asinyae,
''Kwa kauli mbaya kutoka kwa mke humfanya Abdala kichwa wazi asinyae,x3''
Huduma zitolewazo kwa nyumba ndogo ni pamoja na kauli njema na unyenyekevu wa hali ya juu...
Mambo ya ''shuntama'' na ''Limbwata'',,,yawezekana yapo.... lakini ukipima kwa usahihi waweza kuta mke ndio anaweza kumfanyia mume na wala si nyumba ndogo.
KUna mzee mwenzangu nilimshauri sana atafute nyumba ndogo manake manyanyaso aliyokuwa anapata kwa mkewe yalizidi kipimo,,,,
ilifika pahala mzee mwenzangu anashinda kilabuni na kuwa na hofu ya kurudi nyumbani,,,manake nyumba haikaliki,...
Hakuna hela mke anaridhika nayo,,kila hela kwake haitoshi,,,na siku hakuna kitu ni kwamba amani inatoweka na kutukanwa kwamba yeye ni mlevi.
Tulijitahidi sana kumshauri awe na nyumba ndogo kwani atapata pumziko kama sisi wazee wenzake lakini hakuelewa.,,,Kwa kifupi mzee mwenzetu alikuja kufariki,,,,,na chanzo ni mkewe,
Huyu ni mmoja tu...
lakini kuna wengi walifariki chanzo ni wake zao,,,na wengi bado wapo kwenye mateso ya hali ya juu Stress...Depression, anxiety,,,,Pressure...Visukari n.k. misongo ya mawazo mixer .......nakadhalika wa kadha na hawana pahala pa kutolea sumu wanakufa na tai shingoni.
MUHIMU
UJUE ADRESS YA KUDUMU YA NYUMBA NDOGO...mpaka kijijini kwao.. na baadhi ya nduguze.
{Hii khabar ya kuoa mke mmoja ni mission ya kuangamiza mwanaume.}