Nyumba ni kaburi lenye milango na madirisha lililojengwa juu ya ardhi

Nyumba ni kaburi lenye milango na madirisha lililojengwa juu ya ardhi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Nyumba ni kaburi lenye milango na madirisha lililojengwa juu ya ardhi; Ile kufungua mlango na kuingia ndani na kujifungia, ni sawa na maiti inayotembea kujifungia kwenye kaburi lililojengwa juu ya ardhi. Je, wakuu mnakubaliana na hoja yangu?​
 
Fasihi ngumu sana.
Binafsi huwa naamini watu wa politics wana akili nyingi kuliko wanasayansi , sema tu Politics imeambatana na Interest za watu.
Siasa huwa niking'ang'anizi, ufe wewe lengo langu litimie '' in any means''
 
Back
Top Bottom