Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Acha uwoga
Ili nyumba isionekane kaburi, acha milango na madirisha wazi muda wote, iwe usiku, asubuhi au mchana.Mtazamo wako tumeuheshimu.
Ila toa maelekezo zaidi
Nimekusoma mkuu.Ili nyumba isionekane kaburi, acha milango na madirisha wazi muda wote, iwe usiku, asubuhi au mchana.
Ni kaburi linalotembeaNimekusoma mkuu.
Gari haiingii hapo pia?
Ukiwa ndani unajifungia na kuwasha ac huku ukichekelea, kumbe uko kaburiniNaweza kusema haya ni mawazo yako baada ya kushiba sana
Fasihi ngumu sana.Ni kaburi linalotembea
Ndio hivyo, tuishi kama wanyama porini, hakuna haja ya kujenga
Hpa wamesalimika wahadzabe tu.Ukiwa ndani unajifungia na kuwasha ac huku ukichekelea, kumbe uko kaburini
Siasa huwa niking'ang'anizi, ufe wewe lengo langu litimie '' in any means''Fasihi ngumu sana.
Binafsi huwa naamini watu wa politics wana akili nyingi kuliko wanasayansi , sema tu Politics imeambatana na Interest za watu.
Utajengaje nyumba kwa gharama kubwa alafu ikulipe elfu 30 kwa mwezi?Mkuu hivi nyumba yako inapigwa mnada au 🤔
Mbona nyuzi zako za hivi karibuni zimekaa kujifariji fariji
Kwanini unawaza hivi?Ukiwa ndani unajifungia na kuwasha ac huku ukichekelea, kumbe uko kaburini
Tumepewa ubongo ili tufikiri, ila sijajua kama viumbe wengine wenye ubongo huwa wanafikiri kama sisi.Kwanini unawaza hivi?
Basi kwa kifupi nyumba sio kaburi bali ni sehemu ya kujihifadhi/kupumzisha fuvu baada ya pilikapilika za maishaTumepewa ubongo ili tufikiri, ila sijajua kama viumbe wengine wenye ubongo huwa wanafikiri kama sisi.