Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Tuanzie na wewe ilikuwaje ukaishi sehemu kama hio?Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Hapana kwa kweli, sijawahi kuwaza kutengeneza kizazi mpuchuo, mara mia nitie mimba toto la Sinza naju mwanangu atakuwa salama, yaani nikiangalia watoto wao walivyo wadogo halafu wamedhoofu, mkuyenge unadorora doro!Mkuu wachakate wachakate.
Wote tia mimba kisha upotee hapo.
Ilikuwa ni emergence tu mkuu, nilikosana na mama watoto, baada ya wazazi wake kuegemea kwake ikanibidi nimcheki dalali tizo anitafutie mahali pa kujiegesha, ndipo akanivutia chumba, nikanunua godoro la bei chee na kindoo cha kunawia uso, quishney babu G. Picha linaanza watu hawana hela ya umeme, shuwain!Tuanzie na wewe ilikuwaje ukaishi sehemu kama hio?
Wewe pia ni omba omba mwenzao.
Haswaaa! Inabidi niwe makini sana, nikiendekeza genye, nitapewa ukoo niulee, ndio maana nikiondoka saa 12 narudi saa 5 usiku, ni suala la mudaKitu kizito kitakupata
Tatizo jina mkuu anyway pole sanaAstakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Kukosana sio chanzo cha kuhamia hapo,Ilikuwa ni emergence tu mkuu, nilikosana na mama watoto, baada ya wazazi wake kuegemea kwake ikanibidi nimcheki dalali tizo anitafutie mahali pa kujiegesha, ndipo akanivutia chumba, nikanunua godoro la bei chee na kindoo cha kunawia uso, quishney babu G. Picha linaanza watu hawana hela ya umeme, shuwain!
Basi usilielie endelea kutoa misaada si umejigeuza UN.Hapana kwa kweli, sijawahi kuwaza kutengeneza kizazi mpuchuo, mara mia nitie mimba toto la Sinza naju mwanangu atakuwa salama, yaani nikiangalia watoto wao walivyo wadogo halafu wamedhoofu, mkuyenge unadorora doro!
Aweke mitego ya kuzitega hela ,wanaotafuta pesa ni majambaziTutafute hela mdogo wangu,Mimi na wewe hatuna hela!
Bro,chakula mlangoniAstakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Epuka kupangisha uswahiliniAstakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana