Nyumba niliyohamia wanawake wanaomba omba sana

Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana

Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma

Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu

Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Iulize serikali yako kwa nini huwa inaombaomba misaada kwa mabeberu.Ikikupa jibu,oa mmojawapo wa hao singomaza wa wapangaji wenzako.Huo ndiyo ujamaa.
 
Mkuu huna haja ya kutongoza chapa tu mana hakuna kingine kinachosubiriwa zaid yako tu useme nataka kipochi tu
 
Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana

Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma

Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu

Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Pita nao, japo utajiweka kwenye mazingira mabaya zaidi na kujiingiza kwenye mitego mibaya zaidi, achana nao tu.
 
Hapana kwa kweli, sijawahi kuwaza kutengeneza kizazi mpuchuo, mara mia nitie mimba toto la Sinza naju mwanangu atakuwa salama, yaani nikiangalia watoto wao walivyo wadogo halafu wamedhoofu, mkuyenge unadorora doro!
Kwanini umeichagua Sinza?
 
Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana

Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma

Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu

Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Hayo ndiyo maisha plus ya uswahilini mkuu.

Ukitaka kupumzisha fuvu lako bila bughudha, basi tafuta nyumba za maana ushuani huko.
 
una ufala plus ushamba mwingi

Hiyo sentensi yako ya mwisho. jichanganye kama hutochanganyikiwa. Na ndo wanachotafuta hapo. Sasa hivi si wanakuomba. Ukishamla itakuwa amri,lazima umhudumie, la sivyo anakujazia kunguni. Watu wamevurugwa
 
Hivi Sinza sio ushuwani?
Nilikuwa naishi keko miaka ya 2010 nakolipa kodi elfu 40 halafu jamaa yangu anaishi Sinza analipa kodi laki 1, basi nikahisi sinza nako ni ushuani.
Hayo ndiyo maisha plus ya uswahilini mkuu.

Ukitaka kupumzisha fuvu lako bila bughudha, basi tafuta nyumba za maana ushuani huko
 
Hiyo sentensi yako ya mwisho. jichanganye kama hutochanganyikiwa. Na ndo wanachotafuta hapo. Sasa hivi si wanakuomba. Ukishamla itakuwa amri,lazima umhudumie, la sivyo anakujazia kunguni. Watu wamevurugwa
Kwani mwongozo wa kiserikali wa kumjazia mtu kunguni umeshatoka?
 
Kuombaomba limekua tatizo sugu kwa wanawake. Mtaani, kwenye nyumba za kupanga, club, bar yaani kila sehemu wamejaa wanawake ombaomba. Sijui wanawake waliostaarabika wanawachukulia hatua gani wanawake wenzao ambao ni ombaomba
 
Back
Top Bottom