Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Iulize serikali yako kwa nini huwa inaombaomba misaada kwa mabeberu.Ikikupa jibu,oa mmojawapo wa hao singomaza wa wapangaji wenzako.Huo ndiyo ujamaa.Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Pita nao, japo utajiweka kwenye mazingira mabaya zaidi na kujiingiza kwenye mitego mibaya zaidi, achana nao tu.Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Kwanini umeichagua Sinza?Hapana kwa kweli, sijawahi kuwaza kutengeneza kizazi mpuchuo, mara mia nitie mimba toto la Sinza naju mwanangu atakuwa salama, yaani nikiangalia watoto wao walivyo wadogo halafu wamedhoofu, mkuyenge unadorora doro!
Hajui kile ni kiwanda Cha kuzalisha mashogaKwanini umeichagua Sinza?
Ila sinza lile eneo la kitambaa cheupe wanawake wanajiuza hovyo hadi basi.Hajui kile ni kiwanda Cha kuzalisha mashoga
Sinza sio maeneo ya kulea mtotoIla sinza lile eneo la kitambaa cheupe wanawake wanajiuza hovyo hadi basi.
Sinza yote laaana Kuna had mashoga wanajiuzaIla sinza lile eneo la kitambaa cheupe wanawake wanajiuza hovyo hadi basi.
Wana wateja?Sinza yote laaana Kuna had mashoga wanajiuza
Hayo ndiyo maisha plus ya uswahilini mkuu.Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Ila sinza lile eneo la kitambaa cheupe wanawake wanajiuza hovyo hadi basi
Ndio Dunia chafu hiiWana wateja?
Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Hiyo sentensi yako ya mwisho. jichanganye kama hutochanganyikiwa. Na ndo wanachotafuta hapo. Sasa hivi si wanakuomba. Ukishamla itakuwa amri,lazima umhudumie, la sivyo anakujazia kunguni. Watu wamevurugwaAstakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!
Hayo ndiyo maisha plus ya uswahilini mkuu.
Ukitaka kupumzisha fuvu lako bila bughudha, basi tafuta nyumba za maana ushuani huko
Kwani mwongozo wa kiserikali wa kumjazia mtu kunguni umeshatoka?Hiyo sentensi yako ya mwisho. jichanganye kama hutochanganyikiwa. Na ndo wanachotafuta hapo. Sasa hivi si wanakuomba. Ukishamla itakuwa amri,lazima umhudumie, la sivyo anakujazia kunguni. Watu wamevurugwa