House4Rent Nyumba nzima inapangishwa Kimara Mwisho Tzs. 200,000/= kwa mwezi unaweza kulipa mpaka miezi mitatu

Ina fence na geti la kisasa

Ina vyumba vitatu (3) kimoja
ni Master bedroom

Inside public toilet na outside public toilet (choo cha mlinzi)

Stoo, Parking kubwa ya paving, Sebule, Dining na Jiko

Maji yapo + Umeme (Luku)

Kodi: TZS. 200,000/= (Unalipa mpaka miezi mitatu)

Call: 0717 650800

View attachment 1472967
Haina hadhi ya 200,000 , soko la nyumba limeshuka sana, hata fremu za biashara, sasa huko mtafuga popo, hakuna hela za mchezo mchezo, wekeni bei halisi ya 100,000 kila mnyonge aweze kumudu
 
@Jaji mfawidhi
Ni kwamba umeamka na stress za huko mahakamani kwako ama imekuwaje?

Reasoning ya kitoto kabisa.....nina mashaka kama hata u-karani wa mahakama ya mwanzo tu unao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyumba niliwahi kumuunganishia mdogo wangu.
Samahani kama nakuharibia, waliishia kumla 10,000 ya kuonyeshwa nyumba though gharama za kwenda aligharamia mwenyewe.
Ukifika kimara mwisho , unapanda Noah ni 500 then unashuka kituo cha mwisho , ukishuka kwenye Noah unapanda bodaboda 1000.
Sasa imagine unaenda mjini na mkeo kila siku
 
Wacha kupotosha mkuu, kufanya hivyo hakukusaidii chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio nyumba sio ya kisasa, ila sema ina marumaru tu. Ujenzi wa hivyo ni ujenzi wa mwaka 1997 kuweka canopy yenye maua maua!
 
Hii nyumba niliwahi kumuunganishia mdogo wangu.
Samahani kama nakuharibia, waliishia kumla 10,000 ya kuonyeshwa nyumba though gharama za kwenda aligharamia mwenyewe.
Ukifika kimara mwisho , unapanda Noah ni 500 then unashuka kituo cha mwisho , ukishuka kwenye Noah unapanda bodaboda 1000.
Sasa imagine unaenda mjini na mkeo kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee noma sanaa
 
Back
Top Bottom