Umenifanya nikumbuke tour za baba levo huko USA nimemnukuu kasema December anarudi huko anataka kufanya interview na wabongo wengi iwezekanavyo.Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Picha angalau na sisi tuioneTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Materialistic people wanaliumiza Taifa!Kwani nyumba ya mkuu wa majeshi mstaafu inatakiwa iweje?
Watoto na ndugu wa karibu wa marais waliofuata baada ya mwalimu wote sasa ni mabilionea, wanaogelea katika utajiri haramuTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Wanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiriWatoto na ndugu wa karibu wa marais waliofuata baada ya mwalimu wote sasa ni mabilionea, wanaogelea katika utajiri haramu
Huijui familia ya Gen Musuguri. Hata akiwa ktk madaraka yake, alikuwa wa kawaida mno.Huko ni kijijini.tuoneshe na ya mbezi na za mikoa mingine.Mtu anawake watano na wote Wana V8GXR ambazo zinahudumiwa na serikali kuanzia mafuta,maji,umeme,matibabu,chakula,ulinzi,nyumba ya serikali,pesa ya kwenda kutalii Nchi atakayo n.k.Hako kajumba ulikokaona alimjengea bibi yake.
Nyerere hakuchukia utajiri bali wizi wa mali ya Umma ili kujitajirisha.Wanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiri
Hakutaka watz wawe matajiri,alitaka walingane vipato,usimuamini nyerere,ukimsikia anavyopinga udini utasema siyo mdini wakati ni chief architect,huyo cdf mwenyewe sijui mzanaki mwenzie!!?Nyerere hakuchukia utajiri bali wizi wa mali ya Umma ili kujitajirisha.
Alikuwa na marafiki matajiri na haikumpa tatizo.
Wa kawaida huwaje na asiye kawaida huwaje?Huijui familia ya Gen Musuguri. Hata akiwa ktk madaraka yake, alikuwa wa kawaida mno.
Fanya visit Butiama ndio utamuelewa.