Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.

Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.

Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.

Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.

Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.

Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
 
Umenifanya nikumbuke tour za baba levo huko USA nimemnukuu kasema December anarudi huko anataka kufanya interview na wabongo wengi iwezekanavyo.

😊😊
 
Lakini pia nyakati hizi wizi na ubadhilifu vimekuwa jambo kijanja na ushindi kwa mtumishi wa umma......kiasi kwamba mtu akipata teuzi anaonekana ameula.......na akitumikia taifa kwa weledi na uaminifu mpaka akastaafu akiwa masikini anaoenekana bwege na kuchekwa.......

Lakini pia serikali yetu ina usimamizi na utaratibu mbovu kwa wastaafu waliowahi kumwaga jasho lao wakilipigania taifa hili........

Jasho lao la damu na la kizalendo wanakuja kulipwa matusi, kejeli na dharau na serikali yao waliyoipigania.....

Yote haya yanachochea wizi na ubadhilifu kwa watumishi waliopo kwenye nafasi nyeti na hata zisizo nyeti kwani hata wao wanayaona mateso, dhiki na dharau wanazofanyiwa wastaafu hivyo wanajilipa kabisa kwa kuiba na kuwekeza ili kuziepuka aibu za uzeeni ya kuomba kilichokuwa chako.....
 
Huko ni kijijini.tuoneshe na ya mbezi na za mikoa mingine.Mtu anawake watano na wote Wana V8GXR ambazo zinahudumiwa na serikali kuanzia mafuta,maji,umeme,matibabu,chakula,ulinzi,nyumba ya serikali,pesa ya kwenda kutalii Nchi atakayo n.k.Hako kajumba ulikokaona alimjengea bibi yake.
 
Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.

Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.

Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Picha angalau na sisi tuione
 
Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.

Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.

Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.

Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.

Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.

Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Watoto na ndugu wa karibu wa marais waliofuata baada ya mwalimu wote sasa ni mabilionea, wanaogelea katika utajiri haramu
 
Wanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiri
 
Huko ni kijijini.tuoneshe na ya mbezi na za mikoa mingine.Mtu anawake watano na wote Wana V8GXR ambazo zinahudumiwa na serikali kuanzia mafuta,maji,umeme,matibabu,chakula,ulinzi,nyumba ya serikali,pesa ya kwenda kutalii Nchi atakayo n.k.Hako kajumba ulikokaona alimjengea bibi yake.
Huijui familia ya Gen Musuguri. Hata akiwa ktk madaraka yake, alikuwa wa kawaida mno.
Fanya visit Butiama ndio utamuelewa.
 
Wanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiri
Nyerere hakuchukia utajiri bali wizi wa mali ya Umma ili kujitajirisha.
Alikuwa na marafiki matajiri na haikumpa tatizo.
 
Hakutaka watz wawe matajiri,alitaka walingane vipato,usimuamini nyerere,ukimsikia anavyopinga udini utasema siyo mdini wakati ni chief architect,huyo cdf mwenyewe sijui mzanaki mwenzie!!?
 
Back
Top Bottom