Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kutokujenga Mtumishi wa Umma Kwa mshahara wa talakimu sita ni kujitakia
Mshahara wa CDF ni zaidi ya milioni 12 Kwa Mwezi kama sijakosea.
CDF Mstaafu anakula 80% ya 12M, ambayo ni milioni 9.6 Kwa Mwezi
Ukisema ukope ili kujenga, Kwa mshahara huo haukosi kukopeshwa shilingi milioni 300.
Kwa maisha ya Kibongo Bongo, nyumba ya milioni 300 ni nyumba ya ghorofa moja yenye Vyumba zaidi ya vitano vya Kisasa
Kumbuka huyo CDF anagharamiwa na Serikali kuanzia chakula cha asubuhi hadi akitaka kuamka na kula saa 8 za Usiku.
Kwahiyo mshahara wake hautumii kwenye kununua chakula kama Mimi na wewe